Psalms 74:7-8

7 aWaliteketeza kabisa mahali pako patakatifu,
wakayanajisi makao ya Jina lako.
8 bWalisema mioyoni mwao,
“Tutawaponda kabisa!”
Walichoma kila mahali ambapo Mungu
aliabudiwa katika nchi.
Copyright information for SwhNEN